Home » , » Juhudi za Richard Kasesela Zambakiza Ukuu wa Wilaya...Aandika Ujumbe Huu Baada ya Wakuu Wapya Kutangazwa

Juhudi za Richard Kasesela Zambakiza Ukuu wa Wilaya...Aandika Ujumbe Huu Baada ya Wakuu Wapya Kutangazwa

Richard Kasesela ni kati ya Wakuu wa wilaya 39 ambao wamebakia katika nafasi zao katika kazi ya ukuu wa Wilaya baada ya Jana Magufuli kutangaza wakuu wa Wilaya wapya..

Baada ya Kutangazwa Wakuu wa wilaya wapya Richard Kasesela Ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook:

"Nashukuru Mh Rais namuomba Mungu azidi kunipa nguvu kuwatumikia wana Iringa na Taifa kwa ujumla."
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz