Home » , » TAZAMA JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFUNGA MWAKA JANA NA WANA ''LINDI''

TAZAMA JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFUNGA MWAKA JANA NA WANA ''LINDI''

 

Katika heka heka za kuaga mwaka 2013 usiku wa kuamkia leo mji wa Lindi ulitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kushuhudia onyesho la Msanii nyota wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipokuwa akitoa burudan kabambe katika Tamasha la kudumisha Amani na Maendeleo lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,Mhe Bernard Membe na kufanyika katika Uwanja wa Ilulu Manispaa ya Lindi na kutoa burudani ya nguvu ambayo ilizikonga nyoyo za mashabiki waliodhuria


Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’akiwapagawisha mashabikiw wake walikuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ilulu,Mkoani Lindi.

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’sambamba na madansa wake,wakitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao.

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe akipokea salamu toka kwa Diamond alipokuwa akitoa salam za mwaka mpya kwa wana Lindi.

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz