Mhe. Freeman Mbowe (katikati) kulia kwake ni Regina Lowassa (mke wa Lowassa) na kushoto kwake ni Edward Lowassa baada ya kukabidhiwa kadi cha Chadema.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akimpongeza Edward
Lowassa punde baada ya kujiunga na CHADEMA chama kimojawapo kinachounda
umoja wa UKAWA.
Mke wa Edward Lowassa, Regina Lowassa akikabidhiwa kadi ya CHADEMA
na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba akimpongeza Mhe. Edward Lowassa
baada ya kujiunga na CHADEMA chama kimojawapo kinachounda umoja wa UKAWA.