PICHA ZA AJALI MKOANI LINDI BASI LAGONGANA NA ROLI KUMI WAFARIKI 28 MAHUTUTI
Jana majira ya saa nane alasiri Basi lenye lenye jiona maarufu kama ALLHAMDULILAH lilipata ajali mbaya huko makoani Lindi watu kumi walipoteza maisha papohapo na 28 mahututi wapo Hosptali ya mkoa wa lindi sokoine,
Chanzo cha habari kiliieleza paparazi kwamba chanzo cha ajali hio ni baada ya Basi hilo kugongana na Roli la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea mtwara,
Likapoteza muelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani istoshe kulikuwa na utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha mda mchache kabla ya ajali
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website