Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya majeraha yaliyompataWafuasi wa CORD jana waliandamana kushinikiza kuundwa upya kwa Tume ya Uchaguzi (IEBC)
Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya majeraha yaliyompata