Home » , » Bwana Mdogo Mayunga(Mtanzania) Azidi Kung'aa Mziki wa Kimataifa Akishirikiana na Akon

Bwana Mdogo Mayunga(Mtanzania) Azidi Kung'aa Mziki wa Kimataifa Akishirikiana na Akon

Huyu dogo alishinda tuzo ya "Airtel Talent"(?) pale Nairobi Kenya na baadae akapata offer ya ku-record wimbo na Akon,kabla ya hapo alikuwa ameimba na Mr Blue

Kwa sasa "single" yake aliyomshirikisha Akon imetoka,ni wimbo mzuri,hakika umemvusha dogo toka hatua moja kwenda nyingine.Wimbo mzuri na unasikiliza,"Dont Go Away" ndio habari ya town kwa sasa Usikilize Hapa chini:

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz