Home » , » Nisher Aeleza Kwanini Ameamua Kuweka Wazi Mahusiano yake ya Kimapenzi Mtandaoni (Picha)

Nisher Aeleza Kwanini Ameamua Kuweka Wazi Mahusiano yake ya Kimapenzi Mtandaoni (Picha)


Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii.

Nisher amesema kufanya hivyo kunamweka mbali na wasichana wengine wanaomsumbua.

“Naona ni vyema zaidi kuwa wazi na mkweli, inasaidia kupunguza usumbufu,” ameiambia Bongo5.

“Ndoa inakuja, ila hamna haraka yoyote bado kwa sababu tupo vizuri na mambo mengine taratibu.”


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz