Baada ya kufungwa kwa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la Songea, wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph Arusha wamekuwa katika hali ya wasiwasi wakiogopa kama ya waliowakuta wenzao wa Songea na kuleta hali ya sintofahamu chuoni hapo.
St.joseph Tawi la Arusha kimefungwa chuo hicho rasmi hadi hapo NOTICE itakapotolewa.
Wanafunzi wametakiwa kurudi Nyumbani kwao, hadi hapo taarifa itakapotolewa.
Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana !
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website