Home » , » Picha Mpya za Mwanamuziki Meninah Baada ya Kuolewa...Je Kaacha Music? Anafanyanini Kwa Sasa Jibu Lipo Hapa

Picha Mpya za Mwanamuziki Meninah Baada ya Kuolewa...Je Kaacha Music? Anafanyanini Kwa Sasa Jibu Lipo Hapa

Baada tu ya kuolewa, muimbaji huyo wa kundi la Shosteez, alifungua kampuni iitwayo Meninah Investment ambayo kwa anachokiandika, mambo yanaonekana kuwa yanamwendea fresh.

“I don’t give anyone a reason to hate me. They create their own drama out of pure jealousy…….musclemoney weekmuscleyoung and ambitious I choose what makes me happy just leaving uncomplicated,” ameandika kwenye picha hiyo juu.

Kwenye picha nyingine akiwa ofisini kwake, Meninah ameandika: Work work work C.E.O always incharge……..”


“At office cooperate look for my cooperative clients my company my business my dollars,” aliandika kwenye picha nyingine.

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz