Mh.Sungu Mbunge wa Mbeya Mjini amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa
haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu
kukuepusha kwa ajali hio mbaya.
Habari zinadai kuwa ajali hiyo imesababishwa na Break za Gari Kushindwa
kufanya kazi wakati wanateremka katika mlima huo mkali ikabibidi
waigongeshe ukutani maana bila hivyo wangetumbukia korongoni.
Wote waliokuwa katika gari hilo wapo Salama Kabisa..
CHECK JINSI MBUNGE JOSEPH MBILINYI ALIVYOPATA AJALI MLIMA KITONGA
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website