Katibu
NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi wa
Mbeya, katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana jioni katika Uwanja wa
Rwanda Nzovwe, wilaya ya Mbeya mjini, ikiwa ni mkutano wa kuhitimisha
ziara yake katika mkoa huo, ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM,
kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua.
Sehemu ya Wakazi wa jiji la Mbeya Mjini wakishangilia jambo wakati Katibu
wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye alipokuwa akihutubia katika
mkutano wa hadhara uliofanyika jana jioni katika Uwanja wa Rwanda
Nzovwe, wilaya ya Mbeya mjini, ikiwa ni mkutano wa kuhitimisha ziara yao
katika mkoa huo