Home » , » MILA NA UTAMADUNI WA WATU WA SWAZILAND UNAOTAJWA KUMDHALILISHA MWANAMKE.....

MILA NA UTAMADUNI WA WATU WA SWAZILAND UNAOTAJWA KUMDHALILISHA MWANAMKE.....


Hizi ni baadhi ya picha zilizopo kwenye makala maalum inayozungumzia jinsi mila na utamaduni wa nchi ya swizaland unavyo mdhalilisha mwanamke...

Makala hiyo iliyoandaliwa na mtafiti wa mambo ya kijamii kutoka Ufaransa inazungumzia jinsi utawala wa mfalme wa swizaland unavyo kumbatia utamaduni ambao ni kinyume na haki za wanawake duniani..

Wanawake wakiwa katika sherehe maalum, matiti wazi kama invyoonekana, huku ikitajwa kwamba kua hivyo ni sehemu ya kuadhimisha na kuenzi utamaduni wao...
Hiki ni kivazi maalum kinachovaliwa na mabinti ambao ni ''vigori'' wakiwa katika sherehe hizo...ikiwa ni sehemu ya kuonyesha maumbile yao kwa wanaume....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz