Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mwanaume.
Akiongea
na Times FM, Gigy Money alisema, “naangalia pesa kabla sijamkubali
mwanaume, unajua kuwa na mtu maskini inaleta stress tu, napenda pia
wanaume wazuri,” alisema.
Gigy ametokea kupata umaarufu kutokana na maisha yake controversial
Naangalia Pesa Kabla Sijamkubali Mwanaume – Gigy Money
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website