Watu wengi hupenda mafanikio au wengi hupenda kua maarufu, mfano mzuri
ni mwanadada Wema Sepetu. Ni mmoja wa waigizaji wa kike wachache wenye
mashabiki wengi zaidi. Na katika hilo amefungua miradi mingi ikitumia
jina lake mfano ni ile TV Show yake ya Wema In My Shoes, Lipstick za
Kiss By Wema Sepetu na mwisho kabisa ni Wema Sepetu Application ambayo
ameianzisha hata wiki haijaisha.
Pamoja na watu wengi kuona mambo yanamnyookea star huyo, Wema Sepetu amekua na mawazo yakimsumbua sana kichwani. Kwani siku za karibuni amekua akiota kua siku yake ya kufa imekaribia. Mara nyingi ameota kua kafa na kazikwa.

Tumebahatika kupata video Exclusive ya Wema Sepetu akielezea ndoto hizo. Unaweza mskiliza hapa chini......