Home » , , » Sikuwahi Kumpenda Kanye West, Wiz Khalifa Ndiye Aliushika Moyo Wangu – Amber Rose

Sikuwahi Kumpenda Kanye West, Wiz Khalifa Ndiye Aliushika Moyo Wangu – Amber Rose

Amber Rose amesema hakuwahi kumpenda Kanye West wala ex wake wengine.
“Real love? Was with my husband [Khalifa],” Rose, aliimbia podcast ya Guys We F–ked ya Krystyna Hutchinson na Corinne Fisher.
“My soon-to-be ex-husband. Absolutely, for sure. When you really find love, you just know. So you look back at your past relationships and go, ‘Eh, I didn’t love those fools.'”
Rose alisema aliwahi kuwatamkia ex wake wengine ‘Nakupenda’ lakini hakujua upendo wa kweli hadi alipokutana na Khalifa. “He was the love of my life,” aliongeza kuhusu Wiz aliyezaa naye mtoto mmoja. “He was the only man I’ve ever loved.”

Rose na Khalifa walivunja ndoa yao miezi 14 baadaye September 2014, na ni wazazi wa mtoto wa kiume aitwaye, Sebastian, 2. Kabla ya Khalifa, Rose alikuwa na uhusiano na Kanye, kuanzia 2008 hadi 2010
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz