Home » , » Diamond Platnumz Aikacha Party ya Zari All White Ciroc Party, Ex wa Zari na Wapambe Wake Wahuzuria, Picha Hizi Hapa

Diamond Platnumz Aikacha Party ya Zari All White Ciroc Party, Ex wa Zari na Wapambe Wake Wahuzuria, Picha Hizi Hapa

Wana watoto watatu pamoja na wana biashara kibao za pamoja, hivyo ni ngumu kwa Zari na mume wake wake wa zamani, Ivan kupotezeana licha ya kila mmoja kuchukua njia yake kimahusiano.

Ivan na jamaa zake wa Rich Gang wakila bata kwenye Zari All White Party

Ndio maana Ivan na mpambe wake King Lawrenc walisafiri kutoka SA na kwenda kumuunga mkono Zari ambaye Alhamis hii aliandaa party yake ya kila mwaka ya mavazi meupe tu kwenye kiota cha Guvnor kilichopo Kampala Uganda.
Zari All White Ciroc Party
Zari All White Ciroc Party

ZARI8912ZARI834ZARI234ZARI734


ZARI0923


ZARI13

ZARI90


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz