Home » , » STAR WA BONGO MOVIES''KAJALA MSANJA'' AREJEA TENA URAIANI

STAR WA BONGO MOVIES''KAJALA MSANJA'' AREJEA TENA URAIANI

Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.

Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz