Kilimanjaro starz leo imekata tiketi ya Kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la challenge baada ya kuibamiza timu ya taifa ya Rwanda bao moja bila.
Bao hilio liliofungwa na Stiker ''Mbwana Samata" katika dakika ya saba lilidumu hadi mwisho wa mchezo na kuihakikishia Kilimanjaro star ushindi.
Kilimanjaro starz inasubiri mchezo wa jioni hii kati ya Zambia na Somali ilikueza kujua na ataungana nae kwenda hatua ya robo fainal.
FULL TIME: KILIMANJARO STARZ 1-0 BURUNDI
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website