Home » , » MARTIN KADINDA;; BAADHI YA MA-STAR WA BONGO MOVIES WANAUONEA WIVU ''WEMA SEPETU''

MARTIN KADINDA;; BAADHI YA MA-STAR WA BONGO MOVIES WANAUONEA WIVU ''WEMA SEPETU''



Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile anachodai ni wivu wa maendeleo yake , kila siku wanabuni mbinu mpya ya kumchafua mitandaoni...Pia amesema wamegundua kuna Baadhi ya Marafiki zake ndio wanampiga Vijembe wema kwa kujifanya watu wengine...Wema Anapendwa na mashabiki zake sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo Movies wasio penda Maendeleo.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz