Model huyo ambae awali aligoma kupigwa picha akiwa na chupi tu, sasa amesitisha mpango wake baada ya picha zake zinazomuonyesha akiwa na chupi+bra kuzagaa mtandaoni....
Picha ya model huyo kabla hajabadilisha msimamo wake....
Mpango ndio huo..kama unavyoona...