Hivi karibuni Msanii maarufu nchini Kenya ,Prezzo aliweka picha kwenye mtando wa instagram akionyesha T-Shirt yake yenye thamani ya KSh. 130,000(Tsh.2,408,900).
Kabla ya hata wiki kupita Msanii huyo jana aliweka picha kwenye o wa instagram akionyesha vito vya dhahabu anavyomiliki....
Kikubwa ni ile picha ya bunduki aina ya Ak-47 inayoonekana kung'arishwa kwa dhahabu.....
Gold coated AK-47
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website