KEKI ILYOTENGENEZWA KATKA UMBILE LA NYETI ZA KIUME..YAZUA BALAA
Katika hali isiyo ya kawaida huko Nigeria ,baadhi ya wasanii walitengenza keki iliyokua na umbile la nyeti za mwanaume(uume).
Zengwe hilo lilitokea wakati wadada hao wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya mmoja wa wasanii nchini humo..,
Mara baada ya keki hiyo kuonekana watu wengi waliokua wamehudhuria tafrija hiyo walionekana kusononeshwa na tukio hilo...
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website