Hivi ndivyo mambo yalivyokua ijumaa ya jana katika club moja maarufu jijini Mwanza. Inasemekana wengi wa wadada wanaoonekana katika hizi picha ni wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Mwanza.
Hapa wakiwa wako sehemu ya nje..,,
kazi inendelea.....