
Hivi karibuni kumeingia utamaduni wa wanawake wa bongo kutovaa chupi kwa kisingizio cha joto kali.
Mara nyingi wasanii wa bongo wamekua wakikutwa na skendo za kutembea mitaani, au kwenda 'night club' bila kuvaa kufuli.

Hata kama kunajoto kupitiliza, bado kuvaa kufuli kwa mwanamke anayejiheshimu ni lazima pindi anapokua nnje ya makazi yake.