Usiku wa kuamika leo, palikua na patashika nguo kuchanika huko jijini Tanga katika usiku wa mitikisiko ya pwani.,,
Usiku huo uliopambwa na show za mziki wa taarab kutoka kwa Malkia wa mipasho(Khadija Omar kopa) pamoja na kundi Zima la Jahazi modern taarab.
Hata walemavu nao wamo,, mitikisiko ya pwani hiyooo