
Mambo hayo yametokea usiku wa jana, kwenye show ya p-square hapa jijini dar ...dada kwenye picha alipata bahati ya pekee ya kutunukiwa upendo na Peter wa P-square na kupewa jina la Onyinyee...nakupewa Pete....mmmhh Kazi kweli kweli Nani zaidi hapo kati ya Lola mke wake na Huyu ...?


