Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama hicho.
Wasanii wameyasema hayo usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma walipofanya tamasha la Usiku wa Wasanii kwa ajili ya kumuaga baada ya kustaafu rasmi uwenyekiti wa chama hicho na kumuachia uongozi Rais John Magufuli
Home »
BURUDANI
,
SIASA
» Wasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi
Wasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website