TAARIFA KWA UMMA
Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa
Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa
Lowassa
Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na
nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha
aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa
Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika
jimbo lake.
Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni
msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na
katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia
ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja
kutimiza majukumu yake.
Imetolewa July 03
Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Tarifa za John Mnyika Kumkataa Lowasa zilizozagaa Mtandaoni Chadema Watoa Kauli.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website