Home » , » MTANGAZAJI Gondwin Gondwe Aanza Kazi ya Ukuu wa Wilaya Kistaili..Tazama Picha zake..

MTANGAZAJI Gondwin Gondwe Aanza Kazi ya Ukuu wa Wilaya Kistaili..Tazama Picha zake..

Mtangazaji mkongwe Godwin Gondwe ni miongoni mwa wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Rais Magufuli ambaye mwishoni mwa wiki alikuwa ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya nane wa wilaya za mkoa wa Tanga walioapishwa na mkuu wa mkoa huo, Martin Shigela, kushika wadhifa huo.

Gondwe ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Handeni na hapa rasmi ameanza kutekeleza majukumu yake:



Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz