
Tangu daraja jipya la Kigamboni lianze kutumika rasmi tarehe 19/04/2016 limekusanya jumla ya shilingi bilioni 1.3 kutokana na tozo za vyombo vya usafiri.
Daraja hilo liligharimu dola za kimarekani milioni 136 ambazo ni takribani bilioni 300 kwenye ujenzi wake.