Home » , » Hatimaye Agustine MREMA Apewa Kazi na Rais Magufuli...Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bodi...

Hatimaye Agustine MREMA Apewa Kazi na Rais Magufuli...Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bodi...


Rais John Magufuli amemteua Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustine Mrema kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya PAROLE Tanzania.
Prof. William R. Mahalu, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz