dimond asherekea 'kidogo' kufikisha views milion 1 kwa siku nne
Diamond
Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo.
Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square
imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa
huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website