Home » , » Waziri Charles Mwijage Awasimamisha Kazi Mkurugenzi wa TBS Pamoja na Meneja wa Fedha

Waziri Charles Mwijage Awasimamisha Kazi Mkurugenzi wa TBS Pamoja na Meneja wa Fedha

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage leo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa shirika la Viwango Tanzania TBS Bwana Joseph B. Masikitiko ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.

Pia Waziri Mwijage ameagiza Bwana Emmanuel M. Ntelya Meneja wa Fedha, Mipango na Utawala wa TBS, asimamishwe kazi mara moja kwa kipindi cho ambacho uchunguzi utakuwa unaendelea.Aidha waziri amemteua Dkt Egid B. Mubofu, Mkuu wa Idara ya Kemia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kukaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz