Hali ya Kiafya ya Ray C imeleta Sinto fahamu baada ya Video inayozunguka
mitandaoni ikionyesha akichukuliwa na Polisi huku akisema kuwa
wanamteka....
Shuhuda wa tukio hilo ameandika haya hapa chini:
Esha Buheti
"Nashindwa hata niongee nini jamani, rayc Leo kinondoni umenitoa
machozi, jamani tufanye kitu tumsaidie rayc, I mean it jamani siku zote
nlikua najua anaonewa ila nlichokishuhudia leoo nimeumiaa kutoka moyoni
amedhalilika mwanamke mwenzetu, jamani tufanyeje? Nlikua na
@kabulaflavour kino kwa wapemba tumefata chips mara tukaskia mtu anasema
me rayc nataka kuvua nguoo, nikajua utani kushuka ni rayc anasema
nishikenj kuna watu wanataka kuniteka, alikua na nguvu sana watu
kamshika akaanza kuongea vitu havieleweki, akaanza kutafta kisu
ajichome, watu walimzuia sana walishindwa akaaanza kugaragara kwenye
matope akipiga KELELE kiukweli nilijikuta nalia mara ikaja gari YA
polisi ikambeba ila kwa tabu sanaa alikua akipiga kelele jamani
nisaidieni msiniache kiukweli mpk rayc anaondoka na ile gari yapolisi
sikujua anapelekwa wapi alikua kama mtu alopata kichaa!
Video:Mwimbaji Ray C Katika Hali Mbaya Tena..Adhalilika Kinondoni Polisi Wamchukua
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website