Home » , , » Mayweather Atumia $37m Kununua Ndege Binafsi ya Pili

Mayweather Atumia $37m Kununua Ndege Binafsi ya Pili

Aliyekuwa bingwa wa ngumi kwa uzito wa kati Floyd Myweather amenunua ndege binafsi nyingine iliyomgharimu zaidi ya dola milioni 37.

Mtu wa karibu wa Mayweather ameiambia TMZ, “It’s a 12 passenger Gulfstream III with gold cup holders, gold sink, gold accents throughout. It has all white leather seats and a fully stocked kitchen. He now has two jets.

“Air Mayweather 1 and 2,” aliongeza.

Mayweather amekuwa akitumia fedha nyingi kununua vitu vya gharama tangu alipotangaza kustaafu ngumi mwaka jana
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz