Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering.
Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika
mtandao wa Periscope, kutaka kujua anasomea nini baada ya kupost video
mbalimbali katika mtandao huyo huku akizungumzia maswala ya chuo.
“Jamani nimechoka kuulizwa nasomea nini, nasomea nini, nachukua Telecommunication engineering,” alisema Lulu.
Muigizaji huyo hakupenda kuweka wazi ni chuo gani anasoma, lakini aliweka wazi wiki hii naingia katika mitihani.
Lulu ni miongoni mwa wasanii wachache wa filamu walioamua kurudi darasani na kuongeza maarifa.
Lulu Michael Arudi Chuo, Anachukua Telecommunication Engineering
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website