Mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’, Siwema Edson anaendelea kufurahia maisha ya uraiani ikiwa ni
mwezi mmoja toka mahakama ya Mwanza kutengua kifungo cha miaka miwili
jela na kumhukumu kifungo cha nje cha miaka miwili.
Aprili mwaka huu mahakama hiyo ilimtia hatiani mrembo huyo kwa kosa la kutukana matusi kwa njia ya mtandao.
Hata hivyo mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego ndiye aliyemsaidia
kutenguliwa kwa kifungo hicho cha miaka miwili jela na kuwa cha nje.
Siwema akiwa na kijana anayedaiwa kuwa mpenzi wake
Picha: Maisha ya Siwema wa Nay wa Mitego baada ya kutoka jela
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website