Home » , » Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Wampa pole Mama Maria Nyerere kwa msiba wa Marehemu Leticia Nyerere

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Wampa pole Mama Maria Nyerere kwa msiba wa Marehemu Leticia Nyerere

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere Jana Jumanne Januari 12, 2016
Mama Salma Kikwete akimfariji  Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere jana Jumanne Januari 12, 2016
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole Mama Maria Nyerere kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere jana Jumanne Januari 12, 2016
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz