Home » » Mume Amcharanga Mke Wake Kwa Panga Sehemu Mbali Mbali Kisa Sh 5,000 ya Matumizi

Mume Amcharanga Mke Wake Kwa Panga Sehemu Mbali Mbali Kisa Sh 5,000 ya Matumizi

Mkazi wa kijiji cha Buhembe, mkoani mara, Martha Hussein 'Bhoke' amecharangwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na mume wake kwa kutumia Sh 5,000 ya matumizi ya nyumbani kwa kumnunulia babu yake blanketi. Bhoke alishambuliwa shingoni, mikono yake yote na kumchoma kisu shingoni huku akimtaka amrudishie sh 5,000 zake ama sivyo mwisho wa maisha yake umefika.
Unadhani ni sahihi kumjeruhi mpenzi wako kwa matumizi mabaya ya hela?
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz