Home » , » Picha Hii ya ‘Mahaba Niue’ ya Jokate na Alikiba Yawa Gumzo Mtandaoni

Picha Hii ya ‘Mahaba Niue’ ya Jokate na Alikiba Yawa Gumzo Mtandaoni

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto.

Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa nini.

Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia kwenye Instagram
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz