Home » , » Unamkumbuka Mwanamuziki Lil Kim! Huu Ndio Muonekano Wake wa Sasa...Nini Kimemtokea?

Unamkumbuka Mwanamuziki Lil Kim! Huu Ndio Muonekano Wake wa Sasa...Nini Kimemtokea?


Hivi ndivyo Mwanamuziki Lil Kim Alivyo kwa sasa alivyokuwa akifanya show weekend iliyopita, Muonekano wake umebadilika sana baada ya kujaribu kujibadilisha sura kwa operations ili aendelee kuonekana msichana mbichi, pia amefanyiwa plastic surgery ya umbo lake kitu ambacho wadau wengi wamesema amezidi kuonekana kituko badala ya kupendeza......

Lil Kim Kabla na Baada ya Kuanza kujibadili sura
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz