Home » , , » Video : Wema Sepetu Adata na Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz

Video : Wema Sepetu Adata na Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz

Ameachana na Diamond lakini Wema Sepetu bado ni shabiki mkubwa wa nyimbo za ex wako huyo.

Malkia huyo wa filamu, amedhihirisha kuwa hana kinyongo na Diamond baada ya kuonekana akiimba wimbo mpya wa msanii huyo, Utanipenda!

Muigizaji huyo aliwahi kunukuliwa akisema ingawa ameachana na Diamond bado ataendelea kupenda muziki wake.

Video yake inayomuonesha akiuimba wimbo huu ilisambaa kutoka kwenye mtandao wa Snapchat.

Angalia Video Hapa Chini:

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz