Mzoga wa nyangumi umepatikana ufukweni nje ya mji Capetown Afrika Kusini.
Mzoga huo unaaminika kusombwa na maji ya bahari na kukwama kwenye mwamba.
Haijabainika kilichosababisha kifo cha nyangumi huyo
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website