Home » , » ALIKIBA NA DIAMOND, DAVIDO NA WIZKID KUWANIA ‘MSANII BORA’ NA ‘WIMBO BORA WA MWAKA’ TUZO ZA AFRIMA 2015

ALIKIBA NA DIAMOND, DAVIDO NA WIZKID KUWANIA ‘MSANII BORA’ NA ‘WIMBO BORA WA MWAKA’ TUZO ZA AFRIMA 2015

alikiba na diamondOrodha ya wasanii wanaowania tuzo za All Africa Music Awards (AFRIMA) 2015 za Nigeria yametangazwa. Tanzania inawakilishwa na Diamond, Alikiba na upande wa wasanii wa kike ni Linah.
afrima
Wasanii wenye ushindani mkubwa Afrika Mashariki, Diamond na Alikiba pamoja na wasanii wenye ushindani mkubwa Afrika Magharibi, Davido na Wizkid wote kwa pamoja wamekutana katika vipengele muhimu vya ‘Wimbo Bora wa Mwaka’ na ‘Msanii Bora wa Mwaka’.

Alikiba na Diamond pia wanawania kipengele cha ‘Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki’, na Wizkid na Davido wanashindania ‘Msanii Bora Wa Kiume Afrika Magharibi’. Mwingine kutoka Afrika mashariki katika kipengele hiki ni Jose Chameleone wa Uganda.
wizkid-davido2
Linah anawania kipengele cha ‘Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki’.
linah nostress
Upigaji wa kura umeanza August 14, na tuzo zitatolewa November 15, 2015 jijini Lagos, Nigeria.
Hii ni orodha ya Nominees.
AFRIMA-13
AFRIMA-12
AFRIMA-11
AFRIMA-10
AFRIMA-9
AFRIMA-8
AFRIMA-7
AFRIMA-6
AFRIMA-5
AFRIMA-4
AFRIMA-3
AFRIMA-2
AFRIMA-1
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz