Stori zilizo zagaa mtaani ni kuwa wawili hawa( Diamond na Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini picha hii imeibua hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wa mastaa hawa.
Kundi kubwa kubwa linawalaumu wasanii hawa kwa kupiga picha kama hii huku likidai ni kumdhalilisha mtoto aliyeko tumboni.
Aunt Ezekiel aliwahi piga picha kama hii nakujikuta akioga mvua ya matusi toka kwa mashabiki wake.