Breaking newz<<<habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mkuu wa jeshi la nchi ya Burundi ''Maj Gen Godefroid Niyombareh'' ametangaza rasmi kumpindua raisi wa Nchi ya Burundi Pierre Nkurunziza,, hatua hii imefuata baada ya kutokea machafuko nchini humo yaliyosababishwa na raisi huyo kutaka kujiongezea kipindi cha kutawala,, taarifa kamili tutakujuza mdau
Home »
KIMATAIFA
,
SIASA
» BREAKING NEWS;;; RAISI WA BURUNDI ''Pierre Nkurunziza'' APINDULIWA ,,JESHI LIMECHUKUA NCHI
BREAKING NEWS;;; RAISI WA BURUNDI ''Pierre Nkurunziza'' APINDULIWA ,,JESHI LIMECHUKUA NCHI
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website