Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share
kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza.
Huu ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA . Mbali ya
picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, sio
mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka
chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja
kati waigizaji warembo zaidi hapa Tz.