Sasa ni zamu ya Mduara ,Mwanamuzi Diamond Platnumz ameamua kuwakata kiu
wapenzi wa Mduara kwa kuachia wimbo mkali unaoitwa Nasema Nawee ambao
upo katika mirindimo ya kimwambao zaidi..
Sina mengi ya kuongea kama ila embu bonyeza hapo chini uweze kupata uhundo huo mtamu kutoka kwa mkali Dangote...