Rose Ndauka ambaye ni mama anayetamba ndani ya filamu za kibongo hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Naveen.
Upekuzi wa mtandao huu umefanikiwa kuinasa picha ya Naveen ikiwa mtandaoni kama inavyoonekana hapo chini....
Siku chache baada ya kujifungua, Rose Ndauka aliwaonya wasanii wa kike kuachana na biashara ya utoaji mimba kwani ni
kinyume cha maadili ya mtanzania .
Ndauka alisema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu nyota hawataki kuzaa, hata wale waliozaa kabla ya kuwa nyota hawapendi kujulikana kama wamezaa, kitu ambacho hakinamaana yoyote katika maisha ya msanii