Ndugu zangu, naombeni nisieleke
vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza
tangu nianze kujitegemea mara baada ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye
nyumba moja iliyoko maeneo ya Mbezi.
Tatizo langu ni kwamba nimetokea
kumpenda sana baba mwenye nyumba wangu ambaye ana watoto na familia.
Kila nikijibaraguza siwezi.
Nimefanya kila mbinu kuzificha hisia zangu lakini nimeshindwa.Kimsingi simpendi mwanamume mwingine zaidi yake.....
Nisaidie kuniepusha na mtihani huu mgumu.Asanteni
Home »
UDAKU
» NIMEKUFA NIMEOZA KWA BABA MWENYE NYUMBA WANGU..NIMEJIPITISHA NA KUJIBALAGUZA LAKINI WAPI..
NIMEKUFA NIMEOZA KWA BABA MWENYE NYUMBA WANGU..NIMEJIPITISHA NA KUJIBALAGUZA LAKINI WAPI..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website